RAIS KIKWETE, MAMA SALMA WAKUTANA NA MICHELLE, BARACK OBAMA NA MELINDA GATES
Rais
Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na
mwenyeji wao Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle wakati wa
dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya viongozi wanaohudhuria
Mkutano Mkuu wa 68 wa Umoja wa Mataifa jijini New York. (Picha kwa Hisani ya Rae Lynn Wargo wa Umoja wa Mataifa).
Rais
Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mama Melinda Gates wa Bill and
Melinda Gates Foundation walipokutana katika ofisi za Umoja wa Mataifa
jijini New York leo.
(Picha na Freddy Maro)