Ramadhani
Mahanga ambaye amenusurika kuuawa baada ya kukatwakatwa mapanga na
kijana mwenzake anayefahamika kwa jina la Juma Hamisi ambaye alidai
anatembea na mkewe na hivyo kuchukua uamuzi wa kutaka kumuua katika
kijiji cha Isenga manispaa ya Tabora.
Baba wa kijana Juma Hamisi ambaye anadaiwa kumkatakata mapanga Ramadhani Mahanga akiwa amekwenda kumjulia hali katika Hospitali ya mkoa wa Tabora Kitete ambako amelazwa kwa ajili ya matibabu.
NA KAPIPIJ