Saturday, June 22, 2013

MSANII BARNABA WA KUNDI LA THT AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI LEO

 
Taarifa za kuthitika zilizo tufikia Msanii wa kundi la THT Barnabas Elias maarufu Barnaba amefiwa na mama yake mzazi alfajili ya leo jumamosi Nyumbani kwake Jijini Dar es salaam,

Mama mzazi wa msanii huyo alifaliki kutokana na Presha.

Tunawapa pole Ndugu na Jamaa wa karibu wa familia ya Barnaba katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza mpendwa wao

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI AMENI




Love to hear what you think!