Kwenye kipindi cha Power Breakfast kitakacho rushwa siku ya jumatatu saa mbili asubuhi.
Lady
Jay Dee ameingia kwenye vita kali na Clouds Fm huku akimshambulia
Joseph Kusaga na Ruge Muta Mwigizaji na mwanamuziki wa muziki wa kizazi
kipya Zena Mohamed, maarufu kwa jina la shilole amedai kuwa anaweza
kufanya ujinga wowote humu duniani lakini linapokuja suala la mapenzi
kamwe hawezi kwenda pekupeku ( bila condom ) ....
Akiongea kwa
kujiamini ,Shilole alisema kuwa hata mtu awe vipi, au awe wa dini gani
au awe na pesa kiasi gani kamwe hawezi kumvulia nguo kama hana
kondom mkononi.....
Msanii huyo alienda mbali zaidi na
kuzilaani kauli za baadhi ya watu zinazosema eti ukitumia
"CONDOM" ladha ya mapenzi inapungua.Yeye anadai kuwa ni mdau wa
"GEMU" hilo na huwa anatumia NDOM kama kawa na hufurahia kama
kawaida...
" Hata niwe nimelewa kiasi gani huwa nipo makini sana
maana najua vijana wengi wa mjini wananimezea mate....Waje tu ,
lakini bila KINGA wataambulia PATUPU!!” Alisisitiza Shilole
Bongomovie haba kwa madai kuwa ndio wanaokula jasho la wasanii.