Bosi ruge atatoa ufafanuzi siku ya Jumatatu asubuhi kupitia kipindi cha
Power Breakfast ndani ya redio Clouds FM. Wiki chache zilizopita nyota
wa Bongo Flava , Lady Jay Dee ameingia kwenye vita kali na Clouds Fm
huku akimshambulia Joseph Kusaga na Ruge Mutahaba kwa madai kuwa ndio
wanaokula jasho la wasanii