Hata baada ya yale tuliyoyaona kabla ... Mwanadada anaetamba na wimbo
wake wa JOTO, HASIRA ... LADY JAYDEE amempongeza na kumpa 5 mwanamuziki
mwenzie ... BEN POL ...
Lady JayDee ambae few minutes ago,
ametweet, "Wooh!! @IamBenPol So nimeskia umeimba unampenda Lady Jaydee
!! Kula 5 kwanza mengine yatafuata baadae " ...
Ben Pol nae akajibu, "Yeeaaah!! nakupa then inakuwa #Celebratiiiooons" ...
Lady Jaydee na Ben Pol waliwahi kukwaruzana kupitia mtandao huo wa twitter na kuwa katika hali ya kutoelewana kabisa ...
Katika
ngoma mpya ya Ben Pol ambayo anatarajia kuitoa mwisho wa mwezi huu,
ame-release TEASER yake inayofahamika kama #JIKUBALI na amemtaja Lady
Jaydee katika mwanzo wa wimbo huo ...
Katika mazungumzo yao mtandaoni, Lady Jaydee alimaaliza kwa kutweet, "Good boy " ...
Well,
this is more of LETS BURY THE HATCHET ... This is very good hasa kwa
wasanii kama hawa wanaofanya vizuri na kufaa kuigwa ...