Diamond na Wema Sepetu will always make headlines. Wakati issue ya Irene
Uwoya haijaisha, leo limeibuka jingine. Ni baada ya Wema Sepetu jana
usiku kumpigia simu Diamond ambaye wakati huo alikuwa amepumzika na
mwandani wake wa sasa, Penniel Mungilwa na wapenzi hao kumrekodi.
Maongezi hayo yamerushwa kwenye You Heard ya Clouds FM.
Insider mmoja ameiambia Bongo5 kuwa Wema alimpigia simu Diamond
akimwambia kuwa anataka usiku huo aende kwake lakini Diamond akamwambia
hayupo kwake na yupo nyumbani kwa Penny. Insider huyo amesema Wema
alimwambia Diamond kama vipi yeye (Diamond) ndio aende nyumbani kwa Wema
usiku huo. Hata Diamond alikataa kwa kusisitiza kuwa anampenda Penny na
hawezi kuwa tena na Wema.
Hivi ndivyo maongezi hayo yaliyoifikia You Heard, yalivyokuwa:
Diamond; Mimi sikufanyii drama yoyote, I’m in love with Penny na wewe unaijua hivyo
Wema: Yeah you are in love with Penny and I…
Diamond: Sipendizewi kwasababu mwishi wa siku itakuja kuleta matatizo, drama, SITAKI
Penny anaichukua simu: anasema Hallo, we want to sleep now mammy, wacha si tulale
Wema: Uko poa?
Penny: Niko poa mammy, can u let us sleep now? Si hatutaki matatizo, na
wewe usitake matatizo na sisi let’s just live one happy life.
Wema: You know me I don’t want trouble.
Penny: Yeah but you always wanna cause trouble Wema, you always , when
did you ever want something peaceful? When? I mean when he (Diamond)
says he is in love with me I don’t know, for some reasons I expect you
to respect that because all you have done is bringing us trouble,
seriously and all these things you do they tell us kwamba wewe ndio
unafanya.
Maongezi ya mwisho hayasikiki vizuri sana lakini inaonesha Wema alikata simu.
Mwandaaji wa You Heard, Soudy Brown alimpigia simu kumwambia kuhusu
kipande hicho cha maongezi kilichorekodiwa na hivi ndivyo alivyosema:
Wema: Nimeambiwa lakini sikujua itakuwa this big, kama wananichokoa hapa
apate kick wanaona kwamba hawana kick then that’s something else unajua
eeh,.kick wazitafute sehemu nyingine sio kwa Wema Sepetu. Sawa mimi
najijua, me I am a star, I am star like all over Tanzania hakuna star
kama mimi kwahiyo kama wanaona wanaweza kupata kick kutokana na mimi
star because they are looking for name they are fucked up. Sitaki kuanza
kuchokonolewa chokonolewa kuanza kuetengenza sijui vitu gani nimekaa tu
kimya, mimi nimesikia sijui BBM sijui nini i’m just quite okay
sijafanya chochote
Soudy: Bado unampenda Diamond?
Wema: Hapana siwezi kumpenda wewe!
Soudy: Kumtamani?
Wema: Siwezi
Soudy: Kwanini?
Wema: Sasa wa kazi gani kwasababu mimi nimeshakuwa na Diamond it’s done,
haikuwa riziki kila mtu ameenda na mambo yake, kaendelea na maisha
yangu na mimi nimeendelea na maisha yangu, I am very very happy where I
am.
Sikiliza hapa:
------------
Credits:Bongo5