Mkutano Mkuu wa Nane wa Chama  cha Mapinduzi ambao leo unaingia siku yake ya tatu umeendelea kuibua  mengi ikiwemo la Viongozi wa Vyama vya Upinzani kubainika kusifia  maendeleo yaliyopatikana nchini kimya kimya kwa kuhofia Sera za vyama  vyao zinazowataka kupinga kila jema linalofanywa na Serikali.
  Hilo limebainishwa na Mwenyekiti  wa CCM Taifa Rais JAKAYA KIKWETE wakati akizungumza na wajumbe wa  mkutano mkuu juu ya kebehi zinazotolewa na wapinzani juu ya Serikali  iliyopo madarakani katika kutekeleza majukumu yake
.FUNGUA LINK HII KUSIKILIZA MANENO YA JK KWA WAPINZANI