Msanii wa muziki wa kizazi kipya bongo, Peter Msechu,
anatarajia kuondoka nchini leo agosti 25, kwenda nchini Marekani kwa
ajili ya kuwawakilisha wasanii wa Tanzania kwenye mkatano mkuu wa
jumuhia ya watanzania wanaoishi nchini Marekani ‘BICOTA’ mkutano utakaodumu kwa siku tano.
Msechu anakuwa ni msanii wa pekee kuhudhuria mkutano huo ambao lengo kubwa ni kujadili mambo madogo magodo yanawasumbua watanzania ili kuweza kujua namna watakavyo yatatua, kwa njia ya kutoa misaada wa elimu na mambo mengine kulingana uwezo wao.
“Safari yangu ya kwa Obama naamini itakuwa nzuri kwanza hadi kupata mualiko huu ina maana kwamba nimeonekana naweza kukafanya kile ambacho watanzania wanaoishi nchini Marekani wanakitaka, hivyo nawaomba watanzania wezangu wajue kwamba naenda kufanya kazi na si kutalii kama wengine,’ aliongeza.
Hata hivyo anaeleza kuwa safari hiyo itahusisha mambo mengi kama vile show ambayo ataipiga katika mkutano huo, na baada ya hapo atakuwa na ishu nyingine kibao