Said Bahanuzi akiwa amembeba Hamis Kiiza baada ya kufunga goli pekee la Yanga dhidi ya APR ya Rwanda.
.Wakati-wa-mapumziko-mechi-ya-Yanga-na-Vita-Kocha-wa-Yanga-Tom-Saintfiet-alimuita-kocha-wa-Azam-Stewart-Hall-kumuelekeza-mambo-na-kipindi-cha-pili-Azam-ikatoka-nyuma-kwa-1-0-na-kushinda-2-1
Azam
akiwa anashangilia goli kwa mashabiki wa Yanga baada ya kufunga goli la
pili huku la kwanza likiwa limefungwa na John Bocco na hivyo kuchukua
ushindi wa 2-1 dhidi ya AS VITA ya Congo DRC.