Zaidi ya wiki moja iliyopita
zilitoka stori kwamba Staa wa R’n'B Chris Brown ameachana na mpenzi wake
model Karrueche baada ya kukuta msg za Drake kwenye simu yake.
Inafahamika Drake na Chris
Brown ni maadui sasa hivi, hivyo hiyo ndio sababu iliyotajwa
kuwatengenisha Chris na his girlfriend… stori kamili za sasa ni kwamba
bado wako pamoja hakuna chochote kilichotokea, hizo picha hapo juu ni
wakati wakiwa Ufaransa sasa hivi kikazi na kula goodtimes pia.
According to Necole Bitchie
wakati Chris akiperform kwenye club moja ya usiku, alikua akicheza na
madem wakali wa France ambapo Karrueche alikua anatazama na kucheka tu
anajua husband to be yuko kazini, na hata baada ya Chris kumaliza show,
wawili hao walionekana wakiwa na furaha na wakicheka mara kwa mara kama
ulivyoona kwenye hizo picha hapo juu… so hiyo ndio habari ya France.