Monday, June 1, 2015

YALIYOJIRI NDANI YA BILLS USIKU WA KUAMKIA LEO


Baraka Da Prince (kushoto),  akifanya makamuzi na msanii mwenzake, Ice Boy.
Bob Junior akipagawisha.Msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, akipagawisha jukwaani.
Godzillah akiserbuka na mrembo.
Chid Benz akikonga nyoyo za mashabiki.
Abdul Kiba akiwa na mrembo aliyemkumbatia baada ya kupagawa na burudani aliyokuwa akiitoa.
USIKU wa kuamkia leo kulikuwa na bonge la shoo lililokuwa likienda kwa jina la Gossip Night Party ndani ya ukumbi wa Bills uliopo Posta jijini Dar es Salaam, ambapo wasanii kibao wa muziki wa kizazi kipya walipata fursa ya kufanya makamuzi huku wakitumia muda huo kumuenzi msanii mwenzao Albert Mangwea ambaye alifariki miaka miwili iliyopita.Wasanii waliopata fursa ya kufanya makamuzi kwenye shoo hiyo ni pamoja na Godzillah, Baraka Da prince, Abdul Kiba, Chid Benz, Shilole, Barnaba na wengine kibao.Love to hear what you think!