Friday, May 31, 2013

TAARIFA JUU VIDEO YA NGONO YA WANAFUNZI WA DODOMA YALETA UTATA: BLOGGER MATATANI


Hivi karibuni blogs mbali mbali zilitoa picha na video za utupu za zikisemekana ni za wanafunzi wa vyuo vya Dodoma ambao wakifaanya uchafu huo:
Katika kulifanyia utafiti swala hili  ni kwamba vijana hao wawili sio wanafunzi wa vyuo hata mmoja na wote ni raia wa kawaida ambao wanafanya shughuli zao mtaani, na blog hii baada ya kufanya nao mahojiano kwa njia ya simu ili kufahamu na kupata ukweli juu ya swala hilo kuwa walipenda kuivujisha wao wenyewe au walifanya ushenzi huo kwa dhumuni gani? 
Majibu yao ni kwamba walijirekodi bila kujijua na kupitia laptop na hawakukusudia kuivujisha bali ilivuja baada ya yeye kuihifadhi kwenye flash na baadae kujisahau na kumpatia rafiki yake flash bila kujijua yani alijisahau,na pia swala hili nimekutana nalo kivingine kuwa blogs zimetoa habari za uwongo na kuchafua vyuo vya Dodoma na pia kuna baadhi ya blog zimetaja hadi majina ya chuo flani Dodoma hivyo  basi kama unahusika unaombwa kulirekebisha hilo swala na kuomba radhi na pia huenda sheria ikachukua mkondo wake:
Na pia vijana hao kwa sasa wanatafutwa na vyombo vya sheria kwa ajili ya maelezo zaidi juu ya swala hilo la kufanya mapenzi hadharani kesi yake inafanana na ya kufanya mapenzi ndani ya gari kinyume na sheria:

Na pia kuna  video inayosambaa mtaani ya binti flan nisingependa kumtaja jina ambao inasemekana watu wanatumiana kwa njia ya Whats App na BBM na pia kusambaa mtaani kwenye simu aina ya smat phone na pia kwenye computer, kesi imeshafunguliwa na pia  watu wawili wameshakamatwa na jeshi la police kwa kosa la udhalilishaji ambapo ni Boss Ngasa na wengine wengi wanakabiliwa na mkasa huu ila kwa sasa wote wapo nje kwa dhamana  na pia chain ya kamata kamata bado inaendelea mpaka chanzo kipatikane:ingawa nyuma ya pazia kuna mambo mengi: kaa tayari kupata yaliyojificha kuhusiana na video hiyo sambamba na ushaidi wa kutosha juu ya sakatata hilo:Love to hear what you think!